Wakati watu wengi wakitumia mafuta pia na lotion zenye viambatana sumu yani kemikali na kuharibu ngozi zao za uso (reception) but Kuna njia za asili na za kuaminika za kuondoa chunusi na hazihitaji pesa nyingi kutumia
1.Kipande cha barafu
Barafu husaidia kukausha/kunyausha chunusi na kunyonya mafuta na kuyasambaza katika maeneo mengi ya mwili
Namna ya kutumia
Chukua barafu tia kwenye kitamba safi then fanya kama una massage sehemu yenye chunusi
Fanya mara nyingi uwezavyo
2.Asali
Pia imethibitishwa na wataalam wa ngozi kuwa asali inasaidiaa sana kuondoa chunusi kwa kuzibua matundu ya hewa ya ngozi na kufanya ngozi kupumua vizuri , endapo matundu yakizipa husababisha chunusi
Namna ya kutumia
Tumia pamba safi chovya asali paka katika eneo lenye chunusi fanya kama unamassage eneo, acha kwa dakika 10 osha kwa maji ya uvuguvugu
3.Maji ya limao (lemon juice)
Linauwa vijidudu katika ngozi pia huondoa chunusi haraka kwa sababu ya kemikali zipatikanazo ndani yake
Namna ya kutumia
Tumia pamba safi weka kwenye eneo lenye chunusi baadaa ya hapo lala mpaka asabuhi , nawa uso uamkapo
4.Dawa ya Meno
Dawa ya maajabu ya kuondoa chunusi haraka bila kuacha kovu, inakausha chunusi haraka sana
Namna ya kutumia
Chukua dawa kidogo weka eneo lenye chunusi mpaka asubuhi then nawa uso kwa maji safi
5.kitungu Swahumu
Kitungu hutibu magonjwa takribani 20 pia chunusi kwa uharaka sana
Namna ya kutumia
Kata kitungu swahumu vipande viwili
Sugua taratibu eneo lenye chunusi
6.chapa maandashi(baking powder)
Pia namna nyingine ya kuondoa chunusi, inasaidiaa kunyonya mafuta uso haraka sana na kuacha uso ukiwa mkavu na nyororo
Namna ya kutumia
-kijiko cha chai kimoja Cha chapa mandashi
-Maji kiasi au maji ya limao
-changanya
-Osha uso
-Paka mchanganyiko wako subili kwa dakika 5
-Osha uso kwa maji ya uvuguvugu
Kwa maswali,ushauri please put your comments asanteee sana
I like it
ReplyDeleteUnafanya kazi nzur sana hongera bro
DeleteLet me try
ReplyDeleteMm ninazo subir nijarib thanks mm desteria
DeleteIn
Kaka apo unachagua kitu kimoja tu cha kufanya tu
ReplyDeleteKweny hizi njia ulzosem ipi ni best kulko nyengine maan nina chunus kam mfano w ubimbe hadi nakosa raha
ReplyDeleteIpi Kati ya hizo njia 6 ni nzuri zaid
ReplyDeleteMimi mbn nikajarib kutumia naumia sana uson
ReplyDeleteOk thanks
ReplyDeletejamani mpwendwa samahani hemu nielekeze vizuri
Deleteyani kiukweli sihelewi alafu ninacchunusi sugu na madowa pia
ReplyDeleteok nimewaelewa jman kwa huduma yenu nzuri sana mundu awabariki kwa huduma yenu nzuri sana
DeleteNjia gani inatoa chunusi kwa uharaka
ReplyDeleteNawe kumbe una changamoto hyoo
DeleteJe nitjuaje kama nikitumia kitungu swaumu kwnye u so wangu utondoa chunusi?
ReplyDeleteKazi nzuri sana
ReplyDeleteEty kaka hapo unachagua nyia Moja au unawez kutumia zote , na nyia gan ninatoa chunus Kwa harak
ReplyDeletePia ngoz yang Ina mafuta sana ,nawez kutumia njia gan nzr zaid kwang
ReplyDeletethank you for customer care
ReplyDeleteNimekuelewa IL ip ninjia nyepes zaid af pia me nilijalibukupaka limaoo lakn wap ilishndkana
ReplyDelete