But Leo ntazungumzia sana umuhimu wa avocado katika nywele pia namna ya kuapply katika nywelee
FAIDA ZA PARACHICHI KATIKA NYWELE
Moisturisers hair(unyevu katika nywele)
Husaidia nywele kuwa nyevu wakati wote pia zenye mwonekano mzuri, pia hazina ugumu wakati wa kuchana
Faster growth of hair (hukuza nywele haraka)
Kulingana na zitu zilivyo kwenye parachichi husaidia kukuza nywele haraka sana
Protect against dandruff(kuzuia/kuondoa mmba
Mmba kichwani inamaana ngozi yako ya kichwa haina mafuta yani ikavu so parachichi husaidia kuongeza mafuta kwenye ngozi yako ya kichwa
Rejuvenates hair(hufufua nywele)
Pia linasaidia kufufua nywele kwa Wale waliokatika nywele wenye vipara
Namna ya kutengeneza mchanganyiko WA parachichi
Parachichi moja +Nazi changanya then apply kwa nywele wait for at least 10 minutes and above then osha nywele zako. Kumbuka usichane nywele zikiwa mbichi kwa sababu nywele zikiwa mbichi huwa dhaifu
Thaaaaankssssss for viewing and please put some comment
Mmmmmh Kwan ukitumia parachichi peke yake bila Nazi halifanyi kazi?
ReplyDeleteKwa wenye uhitaji was mafuta ya parachichi & nyonyo;
ReplyDeleteContact:
Phone. :+255687984148
:+255712128364
Email. :realqualityproduct08@gmail.com
Facebook: @realqualityproduct
Google. :@realqualityproduct.
Up good kaz nzr
ReplyDelete